Deuteronomy 20:15-17

15 aHivi ndivyo mtakavyofanya kwa miji yote ambayo iko mbali nanyi, ambayo haimilikiwi na mataifa ya karibu.

16 bHata hivyo, katika miji ya mataifa ambayo Bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kama urithi, msiache kitu chochote hai kinachopumua. 17Waangamizeni kabisa Wahiti, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, kama Bwana Mwenyezi Mungu wenu alivyowaamuru.
Copyright information for SwhKC